JAY Z AMPIGA BITI CHRISS JUU YA RIHANNA

Katika pita pita zangu mtandaoni nimekutana na hii habari iliyonivutia sana.Kama unakumbuka ugomvi uliwahi kutokea kipindi cha nyuma wa cbrown na rihana.Ugomvi ule ambao ulisababisha maumivu makubwa kwa rihanna ulimuuma sana jay z na kutokuwa na maelewano mazuri sana na chriss brown.hivi karibuni jigga na brown walikutana na kuzungumza vizuri huku jay z akisisitiza sana brown kutompiga tena Rihanna
Jay-Z had told Chris he would "end his career" if he hurt Rihanna again.

Comments