ALEX MACHEJO NDANI YA MBINGA LEO HII
MSANII wa vichekesho katika kituo cha
televisheni cha ITV, Alex wa Machejo, ANAYEHIT na wimbo
wake wa 'Ngekewa', leo hii (nov 17/ 2012)atawasha moto ndani ya club paradise wilayani mbinga akiwa sambamba na Afande sele kutoka Moro.kiingilio kwa ajili ya show hiyo ni tsh 5000/=tu