SNOOP DOG (LION) KUWASAIDIA WATOTO WA JAMAICA

Rapa Snoop Lion ameshirikiana na mtandao wa Causes.com to kuandaa mpango unaoitwa “The Minds Garden Project” nchini jamaica kwa ajili ya kusadia watoto wa nchi hiyo. Snoop na wenzake wameaanzisha mpango huo kwa ajili ya kutoa zana na pembejeo zitakazosaidia katika kukuza upatikananji wa chakula chao wenyewe hasa katika kilimo cha matunda na mbogamboga ,”
 "Nimeamua kufanya hivi baada ya kutembelea nchini humo na kuona jinsi vijana hao wanavyoishi maisha ya duni kwa kukosa chakula na mahitaji mengine"alisema Snoop lion
   Snoop pia yuko mbioni kuachia album yake mpya inayoitwa Reincarnated

Comments