GIRL ON FIRE KUACHIWA NOV 27@BY ALICIA KEYS

IKIWA NI SIKU CHACHE TU BAADA YA KUACHIA NGOMA YAKE MPYA INAYOKWENDA KWA JINA LA "BRAND NEW ME" MWANADADA ALICIA KEYS AMETANGAZA RASMI TAREHE YA KUTOKA ALBAMU YAKE YA TANO INAYOKWENDA KWA JINA LA "GIRL ON FIRE"
NDANI YA ALBUM HIYO KUNA NYIMBO KAM 13 HIVI NA "BRAND NEW ME" NI MOJA KATI YA NYIMBO  ZILIZOPO KATIKA ALBAMU HIYO.



sikiliza brand new me hapa


Comments