MSHINDI WA KWANZA NA WA PILI KABLA YA KUTANGAZWA NANI MSHINDI |
MILLION 50 ZIKIENDA KWA CHILAMBO |
LINAH NA AMINI NAO WALIKUWEPO SIKU HIYO KUWARUSHA MASHABIKI |
KUNDI LA PAH ONE |
HIZI NI PICHA MCHANGANYIKO ZINAZOONESHA MATUKIO YALIOTOKEA SIKU YA FINAL YA EBSS 2012.TAREH 09 NOV 2012
TOP 5 |
SALAMA JABIR SIKU YA FINAL |
MSHINDI WA PILI WA EBSS 2012 SALMA YUSUFU KATIKA MOJA YA PERFORMANCE ZAKE |
MASHABIKI WALIOFURIKA UKUMBINI SIKU HIYO |
MSHINDI WA KWANZA WALTER CHILAMBO AKIKABIDHIWA PESA ZAKE TSH MIL 50 |
mashabiki |
je unaonaje mashindano haya yamefanyika katika kiwango na usawa unaokubali katika kumpata mshindi???? toa maoni yako hapa
ReplyDelete