MAMA AWABATIZA WANAE MAJINA YA OBAMA NA ROOMEY

Hii ni kali kuliko,mara baada ya uchaguzi nchini marekani kumalizika huku rais Barack obama kushinda,mama moja Millicent Awuor Oduor 20, kutoka Ndere ambaye amejifungua watoto mapacha  ameamua kuwabatiaza majina ya Barack Obama na mgombea aliyeshindwa Mitt Romney.Kama kumbukumbu kwa kuwa amejifungua katika kipindi cha uchaguzi huo mkubwa wa Marekani

Comments