UKISHANGAA YA MUSA UTAYAONA YA FIRAUNI,HII IMETOKEA TAREHE 7 YA MWEZI HUU,AMBAPO MTOTO MAREHEMU WITNEY HOUSTON (MWANAMUZIKI MKONGWE ALIYEFARIKI MWAKA JANA),BOBBY KRISHINA AMEKUTWA AKIWA MTAANI AKIVUTA BANGI "LIVE" BILA KUOGOPA MACHO YA MAPAPARAZI WALA RAIA,KRISHINA AMBAYE ALIKUWA NA MPENZI WAKE HUKO ANTLANTA ALIONEKANA AKITUMIA KILEVI HICHO HUKU WAKIPOKEZANA NA BOYFRIEND WAKE BILA KUJALI NA WALA KUWEPO NA WASI WOWOTE.HEBU TAZAMA PICHA ZAO HAPA CHINI.