Mtandao wa youtube ambao umekuwa ukionesha video mbalimbali duniani zinazowekwa na watumiaji wake,umetakiwa kufungwa kwa muda wa mwezi mmoja nchini Misri,kutokana na maamuzi ya mahakama.
Mtandao huo umefungiwa nchini humo kutokana na kuwa mtandao huo kupitia kundi flani la watu umekuwa ukisambaza filamu zinazoupinga uislamu hivyo kulalamikiwa na watu wengi wa nchini hasa waumini wa dini hiyo. zaidi tembelea hapa