KYLIE MINOGUE NAYE AJIUNGA NA LEBO YA ROC NATION YA JAY Z
BAADA YA PRODUCER MTATA TIMBARLAND KUJIUNGA NA FAMILIA HIYO YA JAZ,KUPITIA MTANDAO WA TWIITER,ROC NATION WAMETANGAZA KUMKARIBISHA MWANAMKE KYLIE MINOGUE KATIKA FAMILIA YAO TENA!! HAYA KAZI NZURI SANA JAY Z....
Not only is @kylieminogue a member of #theRoc, she’s also performing at our #RNTSZ benefit at @hobsunset. Tix here: bit.ly/14SMfFK
— Roc Nation (@RocNation) February 6, 2013
Welcome Kylie Minogue To The Roc Nation Family ow.ly/2uIro0
— Roc Nation (@RocNation) February 6, 2013
0 comments:



