CHRIS BROWN KURUDI TENA MAHAKAMANI *AVUNJA AMRI ALIZOPEWA NA MAHAKAMA DHIDI YA RIHANNA


Mwanamuziki chris brown ametakiwa kuwasili upande wa mashtaka mara moja ndnai ya saa48  katika mahakama kutokana na kile kilichoelezwa kuvunja amri na maagizo aliyopewa na mahakama kutokana na kesi yake ya kumpiga aliyekuwa mpenzi wake Rihanna mwaka 2009 siku ya tuzo za grammy.

Brown katika hukumu alizopewa ni pamoja na  kuhukumiwa kifungo cha miaka 5 nje,pamoja na siku 180 za kufanya kazi za jami.pia aliambiwa kwa muda wote huo alitakiwa kukaa mbali na Rihanna,lakini tofauti na ilivyo sasa ambapo ameonekana akiwa karibu sana na rihanna,

Picha za Rihanna na Brown zilizo pigwa mwezi uliopita katika katika mchezo wa mpira wa kikapu ya NBA kati ya Los Angeles Lakers na New York Knicks huko Los Angeles.zimewaonesha wawili hao wakiwa katika hali ya upendo,na kile inachosemekana kwamba huenda wawili hao wamerudiana.kitendo ambacho ni kinyume na taratibu alizowekewa na mahakama kwa kipindi chote cha kifungo chake.

0 comments:

Post a Comment

sema nasi hapa!!