HAWA NDIO MATAJIRI WAKUBWA WATANO(5) DUNIANI

Carlos Slim Helu - NAMBA 1
Alizaliwa January 28, 1940 na ni ni mkurugenzi wa makampuni makubwa ya mawasiliano Telmex and America Movil.mpaka kufika march 2011 alikuwa Anamiliki utajiri wa $74 billion.
Bill Gates NAMBA 2
Alizaliwa October 28, 1955 na huyu ni ni mfanyabiashara pia ni muwekezaji mkubwa wa kampuni mbalimbali. pia ni mwenyekiti wa kampuni ya microsoft.Anamiliki utajiri wa $56 billion.
Warren Buffett
Alizaliwa August 30, 1930 na huyu ni ni mfanyabiashara pia ni muwekezaji mkubwa wa kampuni tofauti tofauti.Anamiliki utajiri wa $50 billion.
Bernard Arnault
Alizaliwa 5 March 1949 na huyu ni mfanyabiashara wa kifaransa pia ni CEO wa kampuni ya French conglomerate LVMH Anamiliki utajiri wa $41 billion.
Larry Ellison
Alizaliwa August 17, 1944 huyu ni mfanyabiashara pia ni CEO wa kampuni ya Oracle, Anamiliki utajiri wa $35 billion.
0 comments:




