Hivi ndivyo Taifa Stars ilivyoiadabisha Cameroon LEO


Mbwana Ally Samatta, jioni hii ameibuka shujaa wa taifa, baada ya kuifungia Tanzania, Taifa Stars bao pekee la ushindi katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Cameroon Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Mshambuliaji huyo wa TP Mazembe ya DRC, alifunga bao hilo baada ya kumchambua kipa wa mabingwa hao wa Olimpiki mwaka 2000, Effala Komguep kufuatia krosi maridadi ya Salum Abubakar ‘Sure Boy’.

0 comments:

Post a Comment

sema nasi hapa!!