MWANANMUZIKI TOKA UGANDA JOSE CHAMILIONE AMEONESHWA KUFURAHIA JINSI MASHABIKI WAKE WALIVYOIPOKEA VIDEO YA WIMBO WAKE MPYA UNAOKWENDA KWA JINA LA BADILIKA.VIDEO HIYO AMBAYO AUDIO YAKE IMEFANYIKA KATIKA STUDIO ZA AUDIO ONE IMEONEKANA KUMFURAHISHA MWANAMUZIKI HUYO KUTOKANA NA IDADI YA VIEWERS KATIKA MTANDAO WA YOU TUBE KUFIKIA 12000 NDANI YA MASAA 48 TU TANGU ALIPOIWEKA MTANDAONI HUMO.... NA HIVI NDIVYO ALIVYOANDIKA
" BADILISHA VIDEO" got 12000 views in 48 HRS. youtube.com/watch?v=H0PUjv…LEONE ISLAND TUGENDE TUKOLE 2013
— Jose Chameleone (@JChameleone) February 8, 2013