Mwimbaji mkali duniani Celine Dion ameahirisha show zake kadhaa ambazo ilibidi azifanye siku za karibuni kutokana na kuogopa virus.Doctor wake amemshauri kupumzika japo wiki moja ili kurudisha sauti yake iliyopotea baada ya kuvimba kwa koo lake la sauti wiki chache zilizopita.
kuvimba huko kumesababishwa aina furani ya wadudu{virus}ambao dockta wake amesema wanaweza kumrudia tena kama ataanza ziara za show bila kupona vizuri.shoo zake zimesogezwa mpaka tarehe 3 mwezi wa 3
kuvimba huko kumesababishwa aina furani ya wadudu{virus}ambao dockta wake amesema wanaweza kumrudia tena kama ataanza ziara za show bila kupona vizuri.shoo zake zimesogezwa mpaka tarehe 3 mwezi wa 3
Dion, amewahi kusema hivi"sipendi kuwaaangusha watu," na anajisikia vibaya kutofanya shoo hizo kama ilivyopangwa mwanzo.na wale ambo tayari walishanunua tiketi kwa ajili ya shoo hizo zilitazokiwa kuanza jumatatu wiki hii watarudishiwa pesa zao
Comments
Post a Comment
sema nasi hapa!!