MIMI NA MAIKI NI KAMA PANYA NA PAKA-WEMA SEPETU

Hayo ni maneno amabyo wemasepetu ameyaongea wakati akihojiwa na kituo kimoja cha tv nchini,baada ya kuulizwa kama amewahi kufikilia kuingia katika fani  ya uimbaji.

Wema amabaye mwanzo aliwahi kushiriki na kuibuka miss Tanzania namaba moja na baadae kujiingiza katika tasnia ya filamu na kuwashangaza watu kwa kipaji chake hicho ambacho mwanzo hakuna aliyewahi kudhania kuwa angeweza kufanya hivyo.Hivyo watu wakataka kujua kama ana kipaji cha muziki au anafikiria kujiingiza katika muziki ndipo alipojibu
"Ahh unajua kiukweli mimi nikiingia studio yeyote hivi alafu nikaona maiki huwezi amini sauti yote hupotea kabisa yaani,yaani mimi ni muoga sana wa maiki" alisema wema amabye hivi sasa amefungua kampuni yke mwenyewe ya filamu nchin.

Comments