JE UNATAFUTA RAFIKI/MPENZI SERIOUS WA MAISHA??

URAFIKI NI MUHIMU SANA KATIKA MAISHA YETU,HASA UKIMPATA RAFIKI AMBAYE MNAENDANA NA KUSHIBANA.KUNA NJIA NYINGI ZA KUPATA MARAFIKI NA KUANZA KUWASILIANA NAO.WAPO WANAOKUTANA SAFARINI,WENGINE MASOMONI KAMA VILE CHUONI,SHULENI N.K NA WAPO WENGINE WANAOKUTANA KUPITIA VYOMBO VYA HABARI KAMA VILE RADIO,TV,MAGAZETI NA INTERNET. BLOG HII IMEONA NI VIZURI KUWAKUTANISHA NA KUWAWEKA KARIBU KUPITIA INTERNET.HAPA UTAWEZA KUPATA MARAFIKI WANAOENDANA NAWE.
JINSI YA KUFANYA NI ANDIKA JINA LAKO KAMILI NA MAHALI ULIPO( MFANO SAMWEL IGNAS WA MUSOMA),ANDIKA JINSIA YA MARAFIKI UNAOWAPENDA(MF.NATAFUTA RAFIKI WA KIKE AU WA KIUME) KISHA ACHA MAWASILIANO YAKO (NAMBA YA SIMU AU EMAIL) KISHA TUMA KWENDA NAMBA 0719 698 698 NA BAADA YA KUPOKEA UJUMBE WAKO UJUMBE WAKO UTACHAPISHWA KATIKA SITE YETU.NA UTAWEZA KUPATA RAFIKI/MPENZI WA KUWASILIANA

Comments

  1. jamani mimi ni mgeni humu sielewi tunafanyaje???

    ReplyDelete
    Replies
    1. kama unatafuta rafiki nenda sehemu ya meseji katika simu yako kisha andika jina lako na kisha aina ya rafiki au mpenzi kisha tuma kwenda namba 0719 698 698 USISHAU NA MAWASILIANO YAKO.pia unaweza kujiunga (register) na site hii hapo juu kwenye picha za members wengine ili uweze kuapata habari na burudani kila siku.KARIBU SANA

      Delete

Post a Comment

sema nasi hapa!!