Kunamzungu mmoja alitoka USA akafikia zanzibar
akalala guest sasa chumbani kulikua na mbu kila akilala wanamshambulia
mwisho akaamua kutoka nje akaona VIMELAMELA (wale wadudu wanao waka taa
usiku) akapiga kelele uwiii Afrika Kunavituko hadi mbu wanatochi aaa
hatari.
><<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<,
Mlevi mmoja alikua anakojoa huku anajamba wakamuuliza kwanini unakojoa huku unajamba akajibu uliona wapi mvua bila radi.
><<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<
MUME : Nasikia shangwe huko kwa jirani kunanini?
MKE : Si ku na birthday
MUME : Birthday ya nani?
MKE : Si ya "TUYU"
MUME : Tuyu Ndio nani?
MKE: Mimi sininasikia Happybirthday Tuyu
MUME: Mmmmmmmmmh.
MKE : Si ku na birthday
MUME : Birthday ya nani?
MKE : Si ya "TUYU"
MUME : Tuyu Ndio nani?
MKE: Mimi sininasikia Happybirthday Tuyu
MUME: Mmmmmmmmmh.
,.><<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<
Kuna jamaa alikuwa anapenda sana kulewa na kuludi nyumbani usiku sasa siku moja kaingia nyumbani saa tisa usiku wamelala na mkewake hivi jamaa haja ndogo ikambana akamuambia mkewe
JAMAA- Mkewangu nisindikize chooni
MKE-sitaki yaani leo unejifanya unaogopa
jamaa akapata hasira akaenda akamaliza alivyo rudi akamuambia mkewake
JAMAA-mh mkewangu hivi leo umeweka nini chooni?
MKE-jamani sasa mimi nitaweka nini
JAMAA-yaani mkewangu umefanya vizuri sana umeweka automatic chooni yaani nilivyo fungua mlango taa ikawaka nilivyo funga taa ikazima
MKE-Shiiit yaani wewe bola uwache pombe umeisha kojolea kwenye friji dah.

><<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<
MMASAI M1 ALIINGIA NA MKUKI KANISANI AKAULIZWA VP TENA MBNA NA CRAHA KANISAN AKASEMA NASKIA KILA SKU KWAMBA KUNA SIMBA WA YUDA KWAHIYO LEO NIMEJIANDAA KUPAMBANANAE
Comments
Post a Comment
sema nasi hapa!!