Kwa sasa hii ndio stori kubwa inayotawala midomoni mwa watu kuwa ni nani ataibuka kidedea katika kinyang'anyiro cha kumtafuta mlimbwende wa mwaka 2012 katika shindano la MISS REDDStz 2012 linalotarajia kufikia kikomo chake kesho na kupatikana kwa mshindi.
Comments
Post a Comment
sema nasi hapa!!