"ASALI YA WAREMBO AKILA BATA"

HAPA KATI NI MSANII DIAMOND AMBAYE NI MSANII ANAYEONGOZA KWA SHOW HAPA TZ NA KULIPWA ZAIDI KULIKO MSANII MWINGINE AKIWA NA LINAH NA RECHO WASANII TOKA KUNDI LA THT. UNAIONAJE PICHA HII??? TUPIA YAKO HAPO CHINI

Comments