NATAKA KULEWA YA DIAMOND NI UTATA

Ikiwa ina siku chache tangu iachiwe,ngoma mpya diamond inayokwenda kwa jina la nataka kulewa imeanza kuleta utata baada ya msanii mwingine  anaitwa H baba kusema kuwa idea ya wimbo huo imeibwa kutoka kwake.Hbaba amedai kuwa wimbo huo ni mali yake na ameufanya na q chilla na bado haujaisha.Hbaba pia ametoa demo ya wimbo huo kwa waandishi wa habari ili isionekane kama yeyey ni mlopokaji tu.!!!

DIAMOND-NATAKA KULEWA SIKILIZA HAPA


MSANII H BABA

Comments