ALIKIBA KUWANIA TUZO ZA KORA 2012


 Msanii anayefanya vizuri hivi sasa kupitia wimbo wa single boy akiwa Lady jay dee,Alikiba ni miongoni mwa majina yaliyotajwa kuwania tuzo za KORA kwa mwaka huu wa 2012.Alikiba amechanguliwa katika Category ya Best Male East Africa kupitia wimbo wa 'Single Boy' alimshirikisha Lady Jayde.KUTOKA TANZANIA Alikiba ataambatana na Saida Karoli pamoja na dogo Aslay kutoka Mkubwa na Wanawe Ent. Tuzo hizo zinazotarajiwa kufanyika December 29 Nchini Ivory Coast..

Comments

Post a Comment

sema nasi hapa!!