UKURASA WA MARAFIKI,MIKASA NA ELIMU UMEANZISHWA

SASA NASMILETZ INAKULETEA PAGE MPYA AMBAYO INAKUWEZESHA KUULIZA MASWALI YEYOTE,KUACHA MATANGAZO MBALIMBALI YA KAZI NA BIASHARA NDOGONDOGO PIA KUCHATI NA MARAFIKI WA KUTOKA SEHEMU MBALIMBALI BILA KUSAHAU KAMA UNA HABARI AU TUKIO LOLOTE LILILOTOKEA SEHEMU UANYOISHI BASI UNAWEZA KULIPOST KATIKA PAGE HIYO!!!!

KATIKA WEBSITE HII PALE JUU KATIKA PAGE MENU KUNA PAGE IMEANDIKWA JUKWAA LA MARAFIKI,MIKASA NA VUNJA MBAVU  AU TEMBELEA
CHATZ.NASMILETZ.COM

UNACHOTAKIWA KUFANYA NI KUJIUNGA KWANZA NDIPO UTAWEZA KUCHANGIA MADA MBALIMBALI NA KUANDIKA POST MBALI ZINAZOHUSU AFYA,URAFIKI,COMPUTER,BURUDANI NA VUNJA MBAVU

HUU NI MUONEKANO WA PAGE HIYO NA MAJUKWAA YAKE



Comments