PICHA ya ajali ya moto iliyoua watu 14 jana china

Ajali hii ilitokea katika mgahawa mmoja nchini China jana, kwa kile inachosemekana kuwa ni mlipuko wa gesi.
Mmiliki wa Mgahawa huo anasema kwamba mlipuko huo ulitokea ghorofa ya kwanza,na baadae moto kuanza kusambaa maeneo mengine ya jengo hilo

Huu ni mlipuko mwingine tena katika maeneo ya migahawa nchini China.mwingine uliwahi kutokea November 14, 2011 na  kuua watu 7

Comments