SUMA MNAZARETI KUFANYA NGOMA KWA AJILI YA SHARO@ISIKILIZE HAPA

KUPITIA WALL YAKE YA FACEBOOK SUMA MNAZARETI KAANDIKA HIVI ""Uhai kioo chenye giza, uwezi kuona ukiangalia. Nuru ya ndugu ye2 ishafutika, nasi zetu zinangojea. Upendo dira ya muelekeo, chuki zetu azina maana. Tusiwaze pepo bila mema, ila tuombe 2 walale pema. Kwnye kaburi akuna switch kaa ujue taa imezimwa. Mistari yangu kwnye ngoma ya sharo."" NGOMA HIYO INAFANYIKA KWA MONA GANGSTAR. "Kuna ney wa mitego, stamina, mabeste, soplano, dogo janja, pnc, country boy, makomando na wengne kibao. Ila mi na stamina 2mefanya mbili" ALIENDELEA KUANDIKA SUMA WIMBO WENYEWE NI HUU HAPA CHINI

Comments