RAY C HAJAFA!!!!

Kutokana na uzushi unaoendelea katika baadhi ya mitandao ya kijamii kuhusiana na Rayc,Mama mzazi wa Msanii huyo kupitia kituo kimoja cha Radio Nchini, amekanusha vikali habari hizo na kusema kuwa mwanae anaendelea vizuri na matibabu huku akiongezea kuwa anakula vizuri na analal vizuri tu!!Hivyo kuwataka watu kuacha kusambaza habri hizo za uwongo juu ya Ray c.

Comments