LIL WAYNE KUACHA MUZIKI

Msanii machachari nchini marekani,Lil wayne amesema kwamba albamu yake ya Tha Carter V itakuwa ni ywa mwisho kwake na ataendelea kudeal na vitu vingine .

''Ha hah aha nimeanza muziki tangu nikiwa na umri wa miaka 8 na sasa nina miaka 30,ni mtu mzima sasa na nina vitu vingine vingi tu vya kufanya tofauti na muziki,hivo hii itakuwa ni albamu yangu ya mwisho''alisema wayne

Comments