Rapper
na Mwigizaji Ja Rule anatarajiwa kutoka jela February 21,2013 kwa
mujibu wa chanzo kimoja cha habari kimesema Ja Rule atatoka mapema
kutokana na tabia na nidhamu nzuri aliyo onyesha akiwa jela kwa muda
wote toka alipoingia June 21,2013. kwa kosa
la kutembea na kumiliki silaha kinyume cha sheria mwaka
2007...
Comments
Post a Comment
sema nasi hapa!!