@photos SHARO MILIONEA ENZI ZA UHAI WAKE NA BAADA YA KIFO

Marehemu stivin kanumba na marehemu sharo milonea enzi za uhao wao

mwli wa sharomilonea baada ya ajali
*UPDATES
Hali ya mzee King Majuto presha imepanda na hali kuzidi kuwa mbaya kutokana na kupata taarifa za msiba wa Sharo Milionea.

Mjomba wa marehemu Sharo Millionea, Bwana Omary Fundikira asema marehemu anatarajiwa kuzikwa siku ya kesho, Jumatano. Hii ni kutokana na msanii mwenzake John Maganga kuzikwa leo



sharo milionea enzi za uhai wake
NINI WANACHOSEMA WASANII WENZAKE

Stive nyerere;>> "“Sharo alishaanza kupata matumaini yaani ni sawasawa unatupa mbegu halafu uitegemee inaanza kuchepua. Sharo alishaanza kuchepua, anachepua ile mbegu yake, ameanza kujisaidia yeye kama yeye sababu katika maisha lazima kwanza uanze kujisaidia wewe kama wewe halafu pili uingalie jamii inahitaji nini kwako. Amejipatia usafiri maskini ya Mungu, pa kulala, na maisha yote ya kutoka Dar es Salaam kwenda Tanga kuwaona wazazi kutumia gharama yake

Hammer q>>'"Hakuna anaeijua sekunde inayofata mbele kutatokea nini? R I P HUSSEIN"

DITTO >>>>>>>>"Nachukua Fursa hii kuwapa pole ndugu/mashabiki/jamaa/marafiki na wasanii wenzangu wote kwa msiba huu mkubwa wa msanii mwenzetu Hussein Ramadhani Mkieti(Sharo Milionea) Mungu aiweke roho ya marehemu mahala pema peponi. AMEEN.
 




 PICHA ZA AJALI
 

Comments