"BOB MARLEY NDIO NJIA YANGU ILIYONIFIKISHA HAPA"-SEAN PAUL

Tarehe 6 February, mashabiki wa rege duniani walikuwa wanasherekea miaka 67 tangu azaliwe msanii mkubwa wa rege duniani  Bob Marley

Sean Paul, amabaye ni kinara na mhimili mkubwa kwa sasa katika muziki wa rege na dancehall amesema anamshukuru msanii huyo kwa kumuonesha njia iliyomuwezesha yeye kufika hapa alipofikia..
“Ni mtu wa muhimu sana kwangu,namuheshimu mpaka sasa” alisema Sean Paul alipokuwa anahojiwa na Reggaeville.com.
“Bob
Sean Paul - Hold You Tonight .mp3
Found at bee mp3 search engine
Marley ni kama mtu aliyekuwa ananiwekea rami katika barabara ninayo tumia ili nisipate vikwazo njiani, . kama sio yeye sijui sisi tungekuwa wapi saizi" alisema.kwa sasa msanii huyu anatesa na wimbo wake mpya unaoitwa HOW DEEP YOUR LOVE akiwa Kelly Rowland



0 comments:

Post a Comment

sema nasi hapa!!