JAY Z NA BEYONCE WAITOSA SHOW YA GRAMMY 2012
Kama ilivyoripotiwa na AOL Music, usiku wa jumapili ya utoaji wa tuzo za grammy 2012 ambao ulwakutanisha mastaa wengi wa muziki ,lakini kulikuwa hakuna pea mbili ambayo ina nguvu sana katika muziki biashara hii ya muziki nchini marekani.Naam sio wengine ni Jay z na mkewe Beyonce ambao ilkuja kufahamika kuwa hawapo katika tuzo hizo licha ya wote kuwa ni wagombeaji katika tuzo mbalimbali.
SWALI NI JE WALIKUWA WAPI??inasemekana kuwa wazazi hao wa ivy baada ya kutoroka tuzo hizo walikwenda mojakwa moja kula maraha katika moja ya hadi katika mgahawa waupendao kwa ajili ya kupata pizza katika mji mdogo wa brooklyn
Wawili hao baada ya kumuacha mwanao ivvy nyumbani waliondoka wao wawili na kuelekea huko kwa ajili ya kufurahi na kuburudika ,hii inakuja baada ya wapenzi kupata mtoto hivi karibuni.
hhahah hivyo ndivyo vituko vya wenzetu huko majuu!!
0 comments:



