CHEKA KINOMA NOMA HAPA part one

Jamaa1 alikuwa ameipenda sturi ambayo alitaka aendekuonesha sampo kwa fundi akamwambia unitengenezee kama hii hii kumbe ile sturi ilikuwa imekatika mguu mmoja,kweli fundi aliitengeneza naye akavunja mguu mmoja mwenye sturi akaja akashangaa kuona imevunjwa mguu alipo ulizwa akajibiwa kuwa mbona nawewe ulileta sturi ambayo ilikatika mguu?

Mtu na mkewe wanagombana chumbani, ghafla ugomvi unakuwa mkubwa mke anaamua kukusanya vitu vyake kwa lengo la kuondoka. Mume anashangaa anamuulizaa: Unakusanya vitu unaenda wapi? Mke kwa nyodo anajibu: Nakwenda kwa mama yangu. Mume naye akaanza kukusanya nguo zake na kuweka kwenye mabegi yake, mke kwa jeuri akamuuliza mume wake: Unapaki unakwenda wapi? Mume akajibu kwa tabasamu: na mimi nakwenda kwa mama yangu. Mke akauliza tena "Hawa watoto wako watabaki na nani:/
Mume kwa kujiamini akajibu Nao waende kwa mama yao kama sisi tunavyokwenda kwa mama zetu
Sharobaro amepata mchuchu mpya. Siku hiyo usiku akampigia simu: sharobaro: hellow. Demu:hellow darling sharobaro: are you eyes? Demu: what? Sharobaro: are you eyes this time? Demu: whaaat?
Jamani kumbe sharobaro alikuwa anamaanisha upo macho?
Jamaa2 walikuwa wamekaa pa1, m1 akamwambia mwenzake:leo nimeota niko Ufaransa, yule mwenzake nae akasema" na mm leo nimeota nimewaalika watu kwangu, yule jamaa wa kwanza akahamaki sana akamwambia mwenzake"mbona hujanialika mm? Jamaa akamjibu"Mie nilidhania uko Ufaransa bado."
 Wakati watu wanagombania kupanda kwenye basi la mbagala kama kawaida yao, bibi mmoja alipanda bila shida akapata siti. Baada ya mda konda akamuuliza "bibi unalia nini sasa" Bibi akajibu "miaka yote 25 niliyoishi mbagala sijawahi kupata siti" konda akamshangaa kisha akanena "bibi pisha siti ya dereva hiyo. 
 Ijumaa moja takatifu ndugu ze2 waislamu waliunganika ktk swala ya mchana....
Ghafla katikat ya sala akaingia jamaa mmoja, mkononi kashika jambia.
akauliza "NANI MUISLAMU HAPA?!"
Waumini wote kimya!
Akauliza kwa mara ya pili na kwa sauti zaidi. Wale waumini kwa uoga wakaangalia chini na kumnyoshea imamu..!
Imamu kwa sauti ya kujitetea "Oooh, mm co.. ooh me mwnyewe ndo cku ya kwnza!"
Jamaa akamchukua akampeleka nje na kumnong'oneza, "SAMAHANI BA NDUGU, ME NLKUWA NNASHDA, NAOMBA UNISAIDIE KUCHINJA MBUZI
 Jambaz mmoja aliamua kuokoka .bas kanisan aliombwa atoe ushuhuda.kwa furaha alianza kutoa hushuhuda aksema ,it was a fucking unbelievable.duh!waumin wote wakashanga hv kwel kaokoka.
 Hebu sikia hii..
Mtoto: Mama unajua hausegirl wetu ni malaika?
Mmama: Kwanini unasema hivyo?
Mtoto: Jana nilimwona ameshikilia ukuta akiwa uchi na mikono ameinua juu anaongea na Yesu anasema...oooh yesu wangu nakuja jamani! Nakwambia isingekuwa Baba kumshikilia kwa nyuma kwa nguvu hadi suruali ikadondoka, saa hizi angekuwa Mbinguni kwa malaika!
 

0 comments:

Post a Comment

sema nasi hapa!!