SIMBA WAMUUA MLINZI WA MBUGA

SOUTH AFRICA
Mlinzi wa zoo moja huko Johannesburg South Africa Bw Ramonetha amekutwa amefariki baada ya kushambuliwa na simba wa mbuga hiyo aliyokuwa analinda,baada ya geti la mbuga hiyo kufunguka ghafla.
Mwanamke mmoja anasema walisikia mtu akipiga mayowe lakini walipofka maeneo hayo walikuwa wameshachelewa kwani
Bw Ramonetha, ambaye ana watoto wanne alikuwa mfanyakaiz wa mbuga hiyo tangu mwaka 1970,akiwa anafanya usafi wa mbuga hiyo na muda mwingine kuwalisha watoto wadogo  wa simba hao

Comments