Kinara wa Robin Thicke amekamatwa na polisi mapema ijumaa ya wiki hii baada ya kukutwa na kete za bangi{marijuana}New York City.
Gazeti la kila sku la new york limesema kuwa mkali huyo wa wimbo wa 'Love After War' alikutwa akiwa ndani ya gari aina ya Cadillac Escalade.maofisa hao walimkuta akiwa katulia kiti cha mbele akiwa na msokoto huo mdomoni na akawekwa chini ya ulinzi wa polisi hao.
"hakuwa anaendesha," polisi mmoja alisema. "alikuwa amekaa tu huku kete za bange zikiwa zimemzunguka
Thicke, ambaye amemuoa muigizaji Paula Patton, ameachia albamu yake ya tano inayoitwa,'Love After War,'disemba mwaka jana.
Comments
Post a Comment
sema nasi hapa!!