WASIOPENDA KUFANYA MAPENZI NA WAPENZI WAO SIKU ZOTE HUJITETEA HIVI!! (KWA WANANDOA TU)

WASIOPENDA KUFANYA MAPENZI NA WAPENZI WAO SIKU ZOTE HUJITETEA HIVI!! NA WAKATI KUFANYA MAPENZI MOJA KATI JAMBO MUHIMU KWA WANANDOA.KWANI PENZI HUIMALIKA ZAIDI NA KULETA FURAHA ZAIDI KATI YENU.LAKINI BAADHI YA WATU WAKISHAINGIA KTK NDOA NA KUISHI MUDA MREFU HUANZA KULIEPUKA JAMBO HILO KWA VISINGIZIO KIBAO.....LAKINI NDIVYO VISABABU VILIVYOZOELEKA




  1.NIMECHOKA

WASICHANA WENGI SENTENSI HII NDIO WANAONA KIMBILIO KUBWA LA KUJITETEA PALE WANAPOAMBIWA KUHUSU SULA LA TENDO LA NDOA,LAKINI KIUKWELI WANAKUWA TU HAWAJALI UWEPO WA MWENZA WAKE KWA MUDA HUO.

2.SINA MUDA
WENGINE HUKUBALI KUJIZUNGUSHA ZUNGUSHA CHUMBANI MUDA WOTE,MARA ASHIKE HIKI MARA KILE ILI TU MWENZA WAKE ACHOKE NAKULALA.NA KAMA ITATOKEA UKIMUULIZA ATAKUJIBU!!!OOOH MPENZI YAANI KUNA KAZI MOJA INANIBANA HAPA...HIVYO NAOMBA TUFANYE KESHO COZ SINA NAFASI KWA SASA BABY"

3.MOVIE,FILAMU AU TAMTHILIA
KUNA WENGINE KAMA HAWAJISIKII KUFANYA MAPENZI NA WAPENZI WAO,WAKO TAYARI KUTOROKEA SEBULENI NA KUJIFANYA WANAFUATILIA TAMTHILIA AU MOVIE FULANI KATIKA TV.LAKINI UKIJA KUANGALIA BAADHI YAO HATA SIO WAPENZI WA HAYO MAMBO YA MATAMTHILIA

4.UGONJWA
HII NDIO IMEZOELEKA SANA.KWAMBA AKIMUONA TU MPENZI WAKE ANA DALILI ZA KUMUHITAJI ATAANZA KUSINGIZIA UGONJWA..MARA OOH BABY NIPO KATIKA  SIKU ZANGU(KWA WANAWAKE) AU KICHWA KINANIUMA,MGONGO UNAUMA N.K
LAKINI HIYO YOTE NI JANJA  TU YA KUEPUKA SEX

5.SINA MUDI
UTASIKIA TU AAH BABY UNAJUA KEO KAZINI KUNA MTU KANIUDHI,YAANI KANIKERA KAMA NINI" NAOMBA UNIACHE BABY WANGU TUTAFANYA TU SIKU NYINGINE!!!

HIZO NDIO SABABU KUU WANAZOPENDA KUZITUMIA WAPENZI KUEPUKA KUFANYA MAPENZI NA WENZA WAO....LAKINI KUMBUKA TENDO LA NDOA NI MUHIMU KATIKA MAISHA YA NDOA,HATA KAMA UKO BIZE VP JITAHIDI TENGA MUDA WAKO HATA MASAA MACHACHE TU KUKAA NA KUBURUDIKA NA MME/MKE WAKO..
TCHAAAAAAAAAOOOO 0762698698 NDIO NAMBA YANGU YA USHAURI NA MAONI