KUFUATIA ULE UVUMI ULIOENEA MTAAANI NA KTK VYOMBO VYA HABARI HASA MITANDAO YA KIJAMII KUWA MSANII LINAH AMEBAKWA NA MTU ANAYEJIITA KIMBUNGA,MWANADADA HUYO AMEKANUSHA HABARI HIZO!!!
KUPITIA FACEBOOK ,AKAUNTI MMOJA INAYOITWA KALAPINA KIKOSI CHA MIZINGA
ILIANDIKA KUWA MTU ANAYEITWA "KIMBUNGA" AMEKAMATWA NA POLISI KUFUATIA KITENDO CHAKE CHA KUMBAKA MSANII LINAH,NA YUPO OSTERBAY
LINAH AMEKANUSHA HABARI HIZO KUPITIA RADIO CLOUDS NA MTANDAO WA BONGO 5 KUWA SIO KWELI NA AMESIKITISHWA SANA NA SKENDO HIYO CHAFU!!!!