HII NIMEKUTANA NAYO LEO KAITKA MTANDAO WA FACEBOOK TOKA KATIKA WALL YA MSANII MAARUFU WA MUZIKI WA BONGO FLAVA NA TAARABU NCHINI TANZANIA ANAYEFAHAMIKA KWA JINA LA HAMMER Q.UNAJUA AMEFUNGUKA NINI.........CHEKI HII STATUS YAKE HAPA CHINI
Mambo vp??Mfanyakazi wa TIGO? Je?unajua kuwa hii kampuni unayotendea kazi inatuumiza sn cc ndugu zako tunaoishi ktk hali ya chini?(Masikini kipato) ukiwa km mfanyakazi wa tigo, nadhani unajuafika maisha ambayo wanaishi jamii ilokuzunguka uswahilini kwenu,,, usijisahau kwa kupulizwa na AC za ofisini ukakubali ndugu zako kila siku tunamlilia huyu bosi wako(tigo) kiukweli anatuumiza sn.. au?? unafur
ahia sisi tunavofanyiwa na huyo bosi wako?,kwa kuridhika na mshahara anaokulipa?? kwakujua kuwa hatuna pakulalamika? Tunaishia kuwaandika kwenye mitandao tu. Leo ni mara ya tatu munanidhulumu(tigopesa) halafu munanambia aftr 24hr kisha munanipotezea na ninapopiga cm munanipa majibu yasioeleweka na mda mwengine nikishaeleza tatizo munanambia nisubiri kisha munakata cm nilivumilia mara ya kwanza(30000tsh) na mara ya pili(10000) na leo tena ni mara ya 3(7600) niwaelewe vp? au na mimi nimekuwa ni moja ktk vitega uchumi vya huyo bosi wako? Na kuna wahudumu wenu unampigia unamueleza anacheka kamakwamba anajua kinachoendelea,sasa mwambieni bosi wenu km anamtoto wa kike asijempa mtu mwengine maana hela yangu munayoila ni mahari tosha. Kwa mwanae, eti namba yako haitambuliki mbona natumia ss au nimefoj card pumbavu chukueni koffi zito la makalio na msonyo mkali wa nigeria mxiiiiiu na malizia na dole. La kati rudisheni hela yangu kabla sijawatoa vibusha vya uso kila aliehusika
JE NA WEWE MSOMAJI UMEWAHI KUKUTANA NA UTAPELI HUU UNAOFANYWA NA BAADHI YA WAFANYAKAZI WA MAKAMPUNI TUNAYOYAAMINI????
COMMENT HAPA
Comments
Post a Comment
sema nasi hapa!!