Habari toka majuu ni kwamba inasemekana mwanadada Jessica Simpson ni mjamzito.ikiwa ni miezi michache imepita tangu aifungue mtoto wake wa kike Maxwell Drew Johnson, katika hali ya kustaajabisha mrembo huyo tayari ana "kijacho" kingine tumboni ahahahahah!!!
Comments
Post a Comment
sema nasi hapa!!