CHRISS BROWN ARUDI TENA TWITTER

Baada ya kufuta acount yake ya Twitter kwa muda wa wiki moja hivi  mwanamuziki Chris brown,jana tarehe 2 desemba ameamua ku activate tena akaunti yake hiyo.Brown aliifuta akaunti hiyo baada ya kutokea kurushiana kwa maneno kati yake na mmoja wa followers wake.Lakini baada ya kurudi tena tweet zote za zamani ziliondolewa na sasa zinaonekana tweet mpya tu katika akaunti yake hiyo

Chanzo cha habari kinasema kuwa Brown alifanya maamuzi asiyotaraji kwa kitendo cha kurushiana maneno na mtu huyo na  ndio maana aliamua ku deactivate akaunti hiyo na kisha kufuta tweet zote chafu.

0 comments:

Post a Comment

sema nasi hapa!!