ALIKIBA V/S DIAMOND NANI MKALI!!!! PIGA KURA YAKO HAPA


MSANI ALIKIBA
MSANII DIAMOND
IKIWA TUNAELEKEA MWISHO WA MWAKA.LEO NIMEAMUA KUJA KIVINGINE KABISA,NA HII YOTE NI KWA AJILI YA BURUDANI TU.JE KWA MTAZAMO WA KO UNAVYOSIKILIZA NYIMBO ZAO,UTUNZI,SAUTI NA HATA SHOWS ZAO NANI MKALI KATI YA ALIKIBA NA DIAMOND?? WOTE NI WASANII WA HAPA TANZANIA N A WOTE WANAFANYA MZIKI WA BONGOFLAVA!!


KWA SASA MSANII ALIKIBA ANATESA NA NGOMA YAKE MPYA YA 
MY EVERYTHING 
NA KWA UPANDE DIAMOND ANATESA NA WIMBO WAKE WA 
NATAKA KULEWA

TOA MCHANGO WAKO KWA KU COMENT HAPO CHINI

Comments