The 3 days blackout is predicted to happen on Dec 23, 24, 25....during this time, staying calm is most important, hug each other, pray pray pray, sleep for 3 nights...and those who survive will face a brand new world....for those not prepared, many will die because of fear. Be happy, enjoy every moment now. Don't worry, pray to God everyday. There is a lot of talk about what will happen in 2012, but many people don't believe it, and don't want to talk about it for fear of creating fear and panic.
We don't know what will happen, but it is worth listening to USA's NASA talkabout preparation. Whether it's true or not, better be prepared. No panic, stay calm, just prays. Remember to smile more, love more and forgive more...every day. Better avoid traveling during December
HIYO NI HABARI AMBAYO IMEKUWA GUMZO KUBWA SANA KATIKA MITANDAO YA KIJAMII WIKI HII,AMBAYO INATAARIFU KUWA KUTATOKEA GIZA KUBWA KWA MUDA WA SIKU 3 MFULULIZO KUANZIA TAREHE 22 MWEZI WA 12 MWAKA HUU 2012,KWA KILE KILICHODAIWA KUWA NI MABADILIKO YA KIMFUMO WA DUNIA KUHAMA KUTOKA DIMENSION FULANI KWENDA NYINGINE,LAKINI BINAFSI NIMEJARIBU KUFUATILIA HABARI HIZO KUTOKA KATIKA MTANDAO HUSIKA UNAODEAL NA MAMBO YA UTABIRI (MTANDAO WA NASA) SIJAWEZA KUONA HIZO TAARIFA NA WALA SIJAWEZA KUHAKIKISHA WAO WENYEWE WAKITOA HABARI HIZO ZAIDI YA KUSOMA TU KATIKA MITANDAO MINGINE TOFAUTI TOFAUTI.HIVYO NINA WEZA KUSEMA KWAMBA HABARI HIZO HAZINA UKWELI WOWOTE AU HAZIJATHIBITIHWA NA WATU WA "NASA".
Comments
Post a Comment
sema nasi hapa!!