WENYE SIMU ZA MCHINA..HII INAWAHUSU
Kama simu yako ina dalili hizi ujue ni mchina hiyo.
Simu yako ni ya Kichina iwapo.......
1. Battery inajaa baada ya dk 3 ....
2. Simu ina Tv,torch.
3. Unaweza kuandika Msg kwa tooth pick
4.Kuna matatizo ya kimaandishi yanayoitambulisha kwa mfano Nokla, Blackderry,Samvang n.k.
5.Ndege ikipita ,simu inaandika 1 missed
call
6.Ukiwa karibu na lorry likawashwa kitu kinaandika "Charger Connected"
7.Nilazima iwe na Simu card Mbili na bettry mbili
8.Kukiwa hakuna umeme inaandika "insert sim card"
9.Ukipost status facebook ina post 10 nyingine bila wewe kujua
10. Ukipita karibu na mchina huku bluetooth ikiwa on ,simu inaonesha "new hardware found, please enter pairing code!"
0 comments: