Mume: Hello baby!
Mke: Hello sweety.
Mume: Nitachelewa kurudi leo.
Mke: Nishakujua uko kwa wanawake wako! Jianaume lihuni kama nini! Sijui ilikuaje nikakubali unioe! Nakuchukia kama nini. Sikupendi! Sikupendi!!!
Mume: Niko BENKI hapa.
Mke: Haa! Ulijuaje kama sina pesa, niletee laki 1 baby, nakupenda sana kuliko roho yangu, nakutengezea maji ya kuoga sweety. Usisahau hizo pesa, ninunulie na chips kuku...mwaaaah♥
Mume: NI BENKI YA KUCHANGIA DAMU mpenzi!..
Mke: Nyoooo...waambi -e wakutoe yote!!