MENEJA WA HOTEL ATAK KUMBAKA MTALII ALIYEPANGA KATIKA HOTEL




MENEJA MMOJA WA HOTEL HUKO INDIA AMEKAMATWA NA POLISI BAADA YA KILE KINACHODAIWA KUJARIBU KUTAKA KUMBAKA MTEJA WA KIKE ALIYEPANGA KATIKA HOTEL HIYO Agra Mahal,AMBAYE ALIKUWA MTALII.

MTALII HUYO ALIJIRUSHA KUTOKA GHOROFANI NA KUSABAISHA KUVUNJIKA KWA MGUU WAKE WAKATI AKIJARIBU KUMKIMBIA MENEJA HUYO BWANA Sachin Chauhan...