KAMA UNA SIFA ZIFUATAZO!!!! UMEPATA MKE HAPA



NI BINTI MWENYE MIAKA 27 NAISHI MBEYA,NI MNENE WA WASTANI,MAJI YA KUNDE MREFU WAWASTANI ,ELIMU YANGU NI FORM SIX  NATAFUTA MUME AWE NA MIAKA KUNZIA 32-38 MREFU NA MWILI WA WASTANI,AWE MWAMINIFU  MCHA MUNGU AWE MKRISTO ASIYEVUTA SIGARA NA AWE ANAKUNYWA KWA KIASI SIO MLEVI-0763 82 81 88 AU 0753698561

0 comments: