Cossy Orjiakor Mwanamuziki mwenye kifua kinacho wadatisha midume!!!
Kiukweli msanii huyu katika suala la uumbwaji,yuko poa sana,na hii imethibitshwa na baadhi ya wanaume wakware ambao wameonekana kusifia sana umbo la mrembo huyo hasa maeneo ya kifuani katika mtandao mmoja wa habari za burudani huko nigeria.wanaume wengi wamekuwa wakicomment sifa kibao ikiwemo wale walioombwa kukutanishwa na mrembo huyo cossy orjiakor....check na baadhi ya picha zake hapa chini
0 comments: