1.KUTOJIBU SMS ZAKO KWA MUDA,AU KUZIPUUZIA BILA SABABU YOYOTE YA MSINGI
2.KUTOKUPOKEA SIMU YAKO HASA WAKATI WA MCHANA NA HATA AKIONA MISSED CALLS HATOKUTAFUTA
3.KUPOKEA AU KUZIJIBU SIMU ZAKO WAKATI WA USIKU TU,KWANI ANAKUWA AMEISHUSHA THAMANI YAKO HIVYO ATAKACHOKUAMBIA KWA MUDA HUO NI KWAMBA AMECHOKA NA ANAHITAJI KULALA,HIVYO KUTOPATA MUDA WA KUTOSHA KUZUNGUMZA NAE
4.HATOPENDA KUSHIKANA MIKONO WAKATI MKIWA MBELE ZA WATU AU MKIWA MMETANGUZANA,ANAPENDA KUTEMBEA MBALIMBALI
5.ATAPUNGUZA KUKUCHANGAMKIA NA KUKUJULIA HALI,UKILINGANISHA NA SIKU ZA MWANZO
6.KUKUPUUZA,MFANO MLIKUWA MMEPANGA KUFANYA KITU FULANI NA IKITOKEA YEYE KUTOTIMIZA HATOKUPA SABABU YA MAANA AU PENGINE KUTOKUUMBA MSAMAHA
7.MAWASILIANO NA WEWE YATAPUNGUA,LABDA IKITOKEA MMEKUTANA SEHEMU KWA BAHATI MBAYA AU NZURI,ILA MSIPOKUTANA BASI JUA HAWEZI KUKUTAFUTA
8.ANAKUWA BIZE NA VITU VINGINE,MFANO KAMA KUNA LAPTOP,TV AU SIMU LAKINI SIO KUZUNGUMZA NA WEWE
9.ANAPENDA KUONGELEA JUU YA WANAWAKE/WANAUME WENGINE HASA ALIOWAHI KUWA NAO ZAMANI
KWA LEO TUNAISHIA HAPO ILA KAMA UNA CHOCHOTE CHA KUONGEZEA BASI USISITE KUACHA COMMENT YAKO HAPA