Kutokana na kuendelea kushuka kwa ufanisi na kiwango kwa timu ya arsenal,.mashabiki wa club hiyo wamehoji kama pengine ufundishaji wa kocha wa timu hiyo umeshuka.Mashabiki hao wamefunguka hayo baada ya timu hiyo kufungwa na bayern Munich magoli matatu kwa moja..Arsene wenger amekuwa kocha wa timu hiyo kwa muda wa zaidi ya miaka 16.na ameiwezesha timu hiyo kutwaa ubingwa mara kadhaa pamoja na mafanikio mengine kibao...JE KWA MTAZAMO WAKO NI KWELI ARSENE WENGER ANAHITAJI KUPUMZISHWA?