KUPITIA EMAIL YANGU NIMEPOKEA UJUMBE HUU WA MWENZETU ANAYETAFUTA MCHUMBA.....KWA HIYO KWA MWANADADA AMBAYE ANA SIFA KAMA ANAZOTAKA JAMAA UNAWEZA KUWASILIANAN NAE
Serious natafuta mchumba wa kike wa kuoa kutoka Mbeya.Naitwa Emmanuel, nina miaka 27. Msichana ninayemuhitaji, asizidi miaka 25, awe mweupe au maji ya kunde, umbo la wastani, mkristo, elimu yoyote, kazi awe mjasiria mali, awe hajawahi kuolewa na asiwe na mtoto. Aliye serious kuingia kwenye ndoa anicheki kwa 0656380928