STUDIO YA CASH MONEY IMEINGIA KATIKA SKENDO BAADA YA KUSEMEKANA KUKOPI SAMPLE YA WIMBO WA Love Gonna Pack Up (and Walk Out)" WA BENDI MOJA YA ZAMANI AMBAO ULITOKA MIAKA YA 70 NA KUINGIZIA KATIKA WIMBO WA MSANII BOW WOW AMBAO ALIUREKODI MWAKA 2010 UNAOITWA Still Ballin,.
KIONGOZI WA BENDI HIYO,MR Poindexter AMESEMA WIMBO HUO ULIREKODIWA MWAKA 1972 NA ULIWAHI KUSUMBUA SANA KATIKA CHARTS MBALIMBALI LAKINI STUDIO HIYO BILA MAKUBALIANO YEYOTE WALIVITUMIA VIONJO KADHAA KATIKA WIMBO HUO KWA BOW WOW.
Poindexter ANATAKA ALIPWE $600,000 KAMA FIDIA LAKINI MPAKA SASA WASEMAJI WA CASH MONEY HAWAJAFUNGUKA CHOCHOTE
wimbo wa bow wow unaotuhumiwa ni huu