BRUDDA CLASSIC AACHIA NGOMA 2 KWA MPIGO..ZISIKILIZE HAPA


Ni kutoka pande za ruvuma mbinga,mwanamuziki brudda classic ameamua kuwapa bonge moja la suprise fans wake kwa kuachia ngoma mbili kwa mpigo ndani ya mwezi mmoja.Kuwa wa kwanza kuzisikiliza na kuzidownload hapa na uone ni namna gani Msanii huyo ameamua kuwaburudisha....Kazi zote zimefanyika ndani ya studio ya Ps records chini ya prd mgwabati.Track ya kwanza inakwenda kwa jina moyo wangu na track ya pili inakwenda kwa jina la nani kama mama